Taswira ya asubuhi barabara ya Kivukoni jijini Dar es salaam kuashiria kwamba mgomo wa madereva wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2015

    Kutembea kwa miguu tutembee tukipenda lakini wenye mabasi wasisitishe huduma na kuwaumiza wananchi.

    Hili eneo la Kivukoni upande wa bahari siku za usoni linahitaji water front nzuri yenye sehemu za biashara, na kujivinjari, maafisa wa jiji watembelee Water Fromnt ya Port Louis, Mauritius na ya Dubai kuangalia uwezekano wa kutengeneza kitu kama hicho hapo au Coco beach

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...