Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba wilayani Karatu mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji hicho, ambapo Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani ya Sh.Milioni 22.
Mwananchi
wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani
Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la Shayiri akimkabidhi
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin mara baada
ya kukabidhi Kituo cha Afya cha Kijiji hicho vifaa mbalimbali vya
matibabu.
Maofisa
wa TBL wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa
Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo wilayani Karatu,
katikati ni Afisa Uhusiano Dorris Malulu, kushoto kwake ni Mkurugenzi
Jarrin na kulia kwake ni Meneja mradi wa Kilimo cha Shayiri Dk. Basson.
Afisa
Uhusiano wa TBL Dorris Malulu akizungumza na baadhi ya viongozi
Serikali ya Kijiji pamoja na uongozi wa Kituo cha Afya cha Kijiji cha
Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani
Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya kituo hicho
vyenye thamani ya Sh. Milioni 22, Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya
Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin na kushoto kwake ni Meneja Mradi
Kilimo cha Shayir Dk. Basson Bennie.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...