Sehemu ya abiria wakisubiri kuvuka kwa pantoni kutokea Kigamboni jijini Dar es salaam. Ni dhahiri idadi ya wakaazi katika eneo hilo la Kigamboni wanaongezeka siku hadi siku na juhudi za serikali kushirikiana na mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF kujenga daraja kupunguza tatizo la msongamano limekuja kwa wakati muafaka vinginevyo hali isingekuwa nzuri siku za usoni.
 Umati ukisubiri waliowasili kushuka kabla ya wao kuingia kwenye pantoni leo asubuhi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...