Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania uliofanyika katika kampasi ya Temeke leo jijini Dar es Salaam leo, Kusoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi .
Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo Cha Utalii Tanzania waliohudhulia katika Baraza hili katika Chuo cha Utalii Tanzania Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo cha Utalii Tanzania kampasi ya Bustani, Neema Kusiga akizungumza katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo hicho iliyofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja ya Baraza la wa wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania linalofanyika katika Kampasi Temeke ya Chuo hicho  jijini Dar es Salaam leo na kesho. Picha na Avila Kakingo,Gblobu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...