Mkuu wa Chuo cha Royal, Nsajigwa Lugano akizungumza na waandishi wa habari (hwapo pichani) waliohudhuria katika semina ya Wanachuo hicho,iliyoandaliwa na kampuni ya Mpango Mkakati pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la nchini Marekani la (VSO) semina iliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho jijini Dar es Salaam leo. Katika Semina hiyo, Wahitimu wameaswa kuutumia ujuzi wao katika kujiajiri na sio kusubia kuajiwa.Picha na Avila Kiango, Globu ya Jamii.
Naibu Waziri wa Elimu wa chuo hicho, Diana Mashema akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika viwanja vya Chuo cha Royal jijini Dar es Salaam leo.
Ofisa Mipango wa shirika la VSO hapa Nchini, Mary Msingwa akifafanua jambo juu ya semina kwa wanafunzi wa Chuo cha Royal leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2015

    Wahitimu Watakuwaje na mitaji wakati ndio wamemaliza tu shule? Semeni itengenezwe njia za kuwapatia wahitimu mitaji ili wasimame wanapomaliza shule.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...