SHEHA wa shehia ya Kipangani Ali Said Hamad akifungua
mkutano wa kuelimisha katiba inayopendekezwa, ulioandaliwa na Kituo
cha Hudma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba, kulia ni Hakimu wa
Mahakama ya Ardhi mkoa kusini Pemba Salim Hassan Bakar na kushoto
ni Mratibu wa ZLSC Fatma Khamis Hemed.
MWANASHERIA wa serikali Albaghir Yakout Juma, akitoa
ufafanuzi wa Katiba inayopendekezwa mbele ya wananchi wa wilaya ya
wete Pemba, mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambao uliofanyika Jamhuri Hall wete
Pemba,
MMOJA wa wananchi wa wilaya ya Wete akitaka ufafanuzi wa
Ibara ya 97 juu ya ‘Bunge kumshitaki rais’ kwenye katiba
inyopendekezwa, wakati Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC
walipofika kutoa elimu ya katiba hiyo kwa wananchi gazi ya wilaya,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...