Home
Unlabelled
artistic impression of Tazara flyover
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunahitaji utekelezaji wa miradi hii uanze,hizi plan tumeshazisikia sana..
ReplyDeleteMdau wa kwanza, Kwanza ulikuwa "unasikiliza", sasa ume ona video.. Mradi itaendelea vizuri tu chini ya uongozi bora wa Dk Magufuli. CCM oye!
ReplyDeleteKwa maana ingine pesa za mradi wa mabasi yaendayo kasi zimeliwa?
ReplyDeletenchi za wenzetu majirani wanatenda sisi kazi ya kuonyeshana plan tuuu,tunashindwa hata na Ethiopia ,nchi ambayo miaka yote sifa zake ni nchi yenye njaa kuliko zote Afrika,leo hii wana train za umeme mitaani kwao.shame on you viongozi kwa kutokuwa wazalendo.
ReplyDeleteSawa. Hapo magari yatakuwa yanateleza tu lakini yatakwenda kulundikana makutano ya Buguruni, Sokota na Changombe.
ReplyDeletewa Tz hongera kufika hapa na hili 1 la kuanzia, haya yako kama 10 hivi mjini Nairobi, Njoroge, Kenya
ReplyDeleteMungu nipe uhai wa kutosha nione hizo flyover za Tazara na Ubungo
ReplyDeleteNaungana na maoni ya mdau wa pili hapo juu, kwani hata ule mradi wa mabasi yaendayo kasi, kwanza walituanzia kwa kutuonyesha 'demo' zake tu na hatimae kitu kamili kimefanyika na ndio kimo mbioni kukamilika. Tusiwe wenye papara ya kutaka kila kitu kifanyike papo kwa hapo, haiwi 'jino', basi chanzo chake ni ufizi na taratibu likakamilika na kukitia sura kinywa kizima. Na hata mji wa Roma haukujengwa kwa siku moja. Tutafikia tu malengo In Sha Allah.
ReplyDeleteHizi ni heka heka za uchaguzi tu....ni mwaka wa 5 sasa toka tusikie hizi habari za flyover.......leo wanatuletea michoro wakati wenzetu kenya wanatekeleza miradi then wanaongea baadae...we want results sio mipango na maneno mengi...........
ReplyDeletendoto za mchana, mradi wa mabasi ya kasi umeishia wapi??? Hatuna viongozi ambao wapo serious kila kitu mchezo mchezo. Michora hii tunaiona tu kila siku hakuna kitu kinachoendelea.
ReplyDeleteHilo flyover moja imezungumziwa kwa karibu miaka 10 sasa hadi leo hatuoni kinachoendelea, wenzetu Kenya hawazungumzi sana...kwao vitendo ndivyo vinaongea zaidi kuliko maneno. Kweli tunayo safari ndefu kama tunaendelea na style hii tuluyoizoea.
ReplyDelete