Mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda
Passo' Mwinyi Khamis Juma mkazi wa Mbalali mkoani Mbeya, akipunga mkono baada
ya kukabidhiwa zawadi yake katika hafla iliyofanyika mkoani Mbeya juzi. Kushoto
ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Mbeya, Benson Mwakyusa na Mkurugenzi wa
Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa. (Na Mpiga
Picha Wetu)
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (aliyeshika mfano wa ufunguo) akizungumza neno muda mfupi kabla ya makabidhiano wa zawadi ya Passo kwa mshindi wa Mkoa wa Mbeya, Mwinyi Khamis Juma. Kushoto ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwila na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Sumbawanga, Colnerius Msigwa (kulia)
Mshindi wa Shindano la "Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo" Mwinyi Khamis Juma mkazi wa Mbalali mkoani Mbeya, kiushukuru uongozi wa Benki ya CRDB baada ya kuibuka mshindi wa Promosheni ya Shindano la 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo' inayoendeshwa na benki ya CRDB. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwila.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...