Profesor Jay akihamsisha wananchi kujitokeza kwenda kujiandikisha "NDUGU
ZANGU WANA WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA
ILI TUJIHAKIKISHIE UHURU WA KWELI NA SIO WA MATUMAINI"
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari amewataka watanzania
kutambua muda wa mateso waliyoyapata kwa Miaka Mingi sasa yamefikia
ukomo,"Njia pekee iliyobaki ndugu zangu ni kujiandikisha kwenye daftari
la kudumu la Mpiga kura" Pia ametambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari akitambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lake
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wa CHADEMA jijini Arusha
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Safi sana Nassari. Kuna wabunge kazi kupiga madebe bungeni majimbo yao yameoza.
ReplyDeleteMungu wa bariki chadema changamoto zao zina faida kubwa kwa taifa na watanzania wote...
ReplyDeleteDuh angalia hiyo nyomi...kweli people's power wanatisha.
ReplyDelete