Mke wa Mbunge wa Kitope Mama Asha Suleiman Iddi akiwanasihi wazazi kuendelea kuwaonyesha njia watoto wao wakati akizungumza kwenye mkutano wa ccm wa Matawi ya Kumbaurembo na Cairo katika Kijiji cha Kiwengwa ndani ya Jimbo la Kitope.Kulia ya Mama Asha ni Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimjuilia Hali Muwasisi wa ASP na Muanzilishi wa CCM Bibi Fatma Suleriman Sio Katika Kijiji cha Kiwengwa.
 Balozi Seif ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope akimsalimia Mzee  Haji Muhidini katika Mtaa wa Kumburembo Kiwengwa akiwa katika ziara ya kuwajulia hali Wazee waasisi wa Afro Shirazy Party.
Balozi Seif akisalimiana na Mzee Muasisi wa Afro Shirazy Party Bwana Rashid Khalfan wa mtaa wa  Cairo ndani ya Kijiji cha Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini “ B “. Picha na –OMPR – ZNZ
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...