Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB wa tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akimlisha keki mtoto  katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mtoto  wa Afrika iliyofanyika katika Benki hiyo Tawi la Lumumba,Naibu Mkurugenzi huyo aliitaka jamii kuwawekea watoto akiba kwenye akaunti ya Junior Jumbo akaunti ambayo itawasaidia watoto baadae katika kutimiza malengo yao.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  CRDB, Tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akilishwa keki na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB,Tawi lhilo,Pendo Assei katika kuadhimisha Siku ya Mtoto  wa Afrika iliyofanyika katika Benki hiyo Tawi la Lumumba jana jijini Dar es Salaam.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  CRDB,Saugata Bandyopadhiyay akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba,na watoto waliohudhuria hafla ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, ilifanyika Tawini hapo na iliyowahamasisha wazazi kuwawekea akiba watoto wao  pesa ili kuwasidia kwa siku za baadae kwenye akaunti ya JJ katika benki hiyo.
Sehemu ya watoto waliohudhuria Siku hiyo ya Mtoto wa Afrika wakicheza katika Benki ya CRDB tawi la Lumumba jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...