Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.

 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipongezwa na Waziri wake wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dkt. Binith Mahenge, baada ya kurejesha  Fomu za kuwania urais, katika Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo juni 15, 2015 kwa. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal. 
 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma 
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia  wanachama wa CCM, wakati akitoka kwe ye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma leo, wakati alipotoka kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Nyumba yake  ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal. Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...