Msemaji wa Jeshi la Polisi Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Advera Bulimba akitoa elimu kwa wananchi katika Maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam ambapo jeshi la Polisi ni moja ya Taasisi zinazoshiriki katika Maonyesho hayo. picha na Jeshhi la Polisi.
Mrakibu wa Polisi (SP) Adam Maro akitoa elimu katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma ambapo Jeshi la Polisi ni moja ya Taasisi za umma zinazoshiriki katika Maonyesho hayo. picha na Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...