Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Mselem Said Abdallah (shati la kitenge) akizungumza machache wakati wa kumkaribisha, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa, wakati alipofika kwenye ofisi za Chama hicho, Mpanda, Mkoani Katavi leo Juni 14, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Baadhi ya wananchi wa Mji wa Mpanda wakionekana ni wenye furaha nyingi pindi walipomuona Mh. Edward Lowassa akipita kwenye maeneo yao wakati akielekea Ofisi za CCM Wilaya ya Mpanda, Mkoani Katavi leo Juni 14, 2015.
 Mapokezi ya Mh. Lowassa mjini Mpanda, Katavi leo.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...