Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mh. Amos Makalla amewataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero kukutana na wananchi wa Vijiji vyote ambao ni wadau wa bonde la Mgongolwa ili kutoa Elimu, kutoa tafsiri na kuwapa mipaka mipya kufuatia hukumu ya kesi ya muda mrefu iliyotolewa wiki iliyopita.

Makalla akiyasema hayo wakati wa Mkutano wake na wananchi hao leo kwenye kijiji cha Mkindo Bungoma ndani ya Jimbo hilo la Mvomero.
Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mh. Amos Makalla akihutubia mkutano wa wakulima wa kata tatu kijiji cha Mkindo Bungoma leo.
Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mh. Amos Makalla akipongezwa mara baada ya Mkutano wake na wakulima wa kata tatu kijiji cha Mkindo Bungoma leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...