Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuangano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, wakati alipofika na ujumbe wake Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Kombe kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani kutoka Kituo cha kuelelea watoto waishio katika mazingira magumu kilichopo Kigamboni, kinachosimamiwa na TBC. Mshana alifika na ujumbe wake Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar esSalaam, leo kwa ajili ya mazungumzo na kumkabidhi zawadi hizo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Saa ya ukutani kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini Kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Khanga zenye Nembo ya TBC na zinazotangaza Utalii wa ndani kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini Kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Tisheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, ikiwa ni sehemu ya shukrani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini Kwa Makamu, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 2, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wa Kituo cha kulelea Watoto waishio katika mazingira magumu, kilichopo Kigamboni baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib BIlal, akiagana na wajumbe walioongozana na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Mshana, Omar Rajab (kushoto) na Maico Rugendo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...