Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa nchi za bonde la mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) wakimsikiliza Nakaraga Juliet kutoka Uganda (kulia) katika maonyesho yalikwenda sambamba na Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Hoteli ya Saint Gaspa mjini Dodoma Juni4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) wakimsikiliza Dkt. Mohsen Alarabawy (kulia) katika maonyesho yalikwenda sambamba na Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Hoteli ya Saint Gaspa mjini Dodoma Juni4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...