Rais mstaafu Alhaj Ali Hasan Mwinyi akimkabidhi kikombe cha ushindi wa ubunifu katika maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma, mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya,Ali Othman katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofikia kilele leo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja wakiwa na vikombe vya ushiindi vya ubunifu katika maonesho ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi wa NHIF wakiwa na vyeti na vikombe vya ushindi wa ubunifu katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyofikia kilele leo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...