Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akiwa na mkewe Mama Lucy Mwandosya wakiwasili katika ofisi za CCM za Mkoa wa Iringa kusaka wadhamini
Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akilakiwa na maofisa wa chama katika ofisi za CCM za Mkoa wa Iringa kusaka wadhamini
Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akipungia mkono wasindikizaji wake katika uwanja wa ndege wa Iringa baada ya kusaka na kupata wadhamini wa kutosha.
Picha na video na Francis Godwin
Habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Picha na video na Francis Godwin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...