Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye Staha Dar
es Salaam, kupitia Elimu ya Biashara na Maendeleo ya Ujasiriamali Bw. Dominic
Ndunguru akiwasilisha mada kuhusu utekelezaji wa program hiyo jana jijini Dar
es Salaam. Programu hii inaendeshwa kwa ubia wa asasi za kiraia za Tanzania
Youth Vission Associataion (TYVA), Open Mind Tanzania (OMT) na Youth For Africa (YOA).
Mshauri wa maswala ya Sera na Miradi ya
Maendeleo wa Tanzania Youth Vision Association Bw. Elly Ahimidiwe Imbyandumi akifafanua
jambo kwa washiriki wa mkutano wa kutathmini utekelezaji wa Programu ya Kukuza
Ajira zenye Staha katika jiji la Dar es Salaam (YEID jana katika ukumbi wa Kituo
cha Vijana cha Don Bosco cha jijini Dar es Salaam.Programu hii inaendeshwa kwa
ubia wa asasi za kiraia za Tanzania Youth Vission Associataion (TYVA), Open
Mind Tanzania (OMT) na Youth For Africa
(YOA).
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bw. Godfrey Nyaisa akielezea jambo wakati wa mkutano wa
asasi za Vijana kujadili utekelezaji wa Programu ya Kukuza Ajira zenye Staha
jijini Dar es Salaam (YEID) mradi huo unalenga kuwajengea uwezo vijana ili waweze kujiajiri na kuajirika. Programu
hii inaendeshwa kwa ubia wa asasi za kiraia za Tanzania Youth Vission Associataion
(TYVA), Open Mind Tanzania (OMT) na
Youth For Africa (YOA).
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa asasi za
vijana wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa wakati wa mkutano wa asasi
za Vijana uliofanyika jana jijini Dar es Salaam ili kujadili utekelezaji wa
Programu ya Kukuza Ajira zenye Staha jijini Dar es Salaam (YEID) mradi huo
unalenga kuwajengea uwezo vijana ili
waweze kujiajiri na kuajirika. Programu hii inaendeshwa kwa ubia wa asasi za
kiraia za Tanzania Youth Vission Associataion (TYVA), Open Mind Tanzania
(OMT) na Youth For Africa (YOA).
Washiriki wa mkutano wa asasi za Vijana ILI kujadili
utekelezaji wa Programu ya Kukuza Ajira zenye Staha jijini Dar es Salaam (YEID)
wakiwa katika picha ya pamoja. Picha na Frank Shija, WHVUM
thank you sir for the news you give this. really very good indeed. and I want to add a little bit of information specifically for adult men and women.
ReplyDelete