Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.
Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO).
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa kutetea kiti chake baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti huku Kilasela Ngalauo akifanikiwa kushinda nafasi ya makamu mwenyekiti.Wengine waliochaguli wa ni Chritina Lyamuya,January Malulya,Marcelina Kyara,Robert Shauri na Robert Materu.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...