Waziri Mkuu Mstafu Fedrick Tluway Sumaye wa awamu ya pili Mwaka (1995 – 2005) na Mbunge wa Jimbo la Hanang (CCM) akizungumza wakati wa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,katika mkutano uliofanyika ndani ya hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es Salaam leo, akiwa na kauli mbiu ya"KOMESHA RUSHWA JENGA UCHUMI"
Baadhi ya wananchi
na Wanahabari mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri
Mkuu Mstafu Fedrick Tluway
Sumaye wakati akitangaza nia ya kugombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,katika mkutano uliofanyika ndani ya hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es Salaam
leo.Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Mnaoamini mna uwezo wa kuifanya nchi hii itoke kakika ligi ya nchi maskini sana mpaka ya uchumi wa kati kuelekea nchi tajiri jitokezeni, mtuambie mlivyojipanga kutuletea maendeleo, na kama wale viongozi waingereza waliokuwa wanafanya kampeni walivyokuwa wakieleza pesa watazitoa wapi, tuelezeni mtagharimia vipi mipango yenu, fedha za mpango wenu zitatoka wapi.
ReplyDelete