Yetu Microfinance PLC iliyoridhi biashara ya mikopo kwa wajasiliamali
wadogo kutoka Youth Self Employment Foundation (YOSEFO) inayofuraha
kuwatangazia kuwa imepata kibali kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji
na Dhamana cha kuuza hisa zenye thamani ya shilingi 12.5
bilioni kwa njia ya toleo.
Yetu
Microfinance PLC inatoa huduma katika matawi yafuatayo; Mzizima and Mbagala (
Dar es Salaam), Ifakara and Mngeta (morogoro region), Zanzibar and Kilwa.
Jumla ya hisa baada ya toleo
|
36,972,249
|
Idadi ya Hisa zinazouzwa
|
25,193,213
|
Bei ya hisa moja
|
Tzs 500
|
Tarehe ya kuanza mauzo ya hisa
|
18th Juni, 2015
|
Tarehe ya kufunga mauzo ya hisa
|
30th ,Julai 2015
|
Tarehe ya kuorodheshwa kwenye soko la
hisa
|
17th August, 2015
|
Imesainiwa
na
Altemius Millinga
Mkurugenzi
Mtendaji
Inabidi waweke prospectus ili tuweze kufanya maamuzi kutokana na malengo ya mwekezaji/investor.
ReplyDeleteYah taarifa juu ya malengo, na mwekezaji anapaswa awe vipi ni muhimu yakawepo pia
ReplyDelete