Meneja wa kinywaji kipya cha Kill Twist, Edith Bebwa akizungumza
na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho cha kill Twist kinachozalishwa na
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).Uzinduzi huo ulifanyika katika ufukwe wa
Azura jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiwa katika picha
ya pamoja wakati wa uzinduzi wa kinywaji cha Kill Twist uliofanyika
katika ufukwe wa Azura jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...