Mhandisi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhandishi Ephraim Minde, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata ufafanuzi kuhusu utunzaji wa Mazingira katika miundombinu ya Uchukuzi, leo asubuhi katika banda la Wizara ya Uchukuzi katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani Tanga. Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Uchukuzi, Bi. Tumpe Mwaijande (aliyekaa kwenye kiti), akifafanua kwa mwananchi aliyembelea banda la Wizara hiyo kuhusu utunzaji wa Mazingira katika miundombinu ya Uchukuzi, leo asubuhi Mkoani Tanga katika Maonyesho ya Wiki ya Mazingira yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.
Afisa Mazingira kutoka Wizara ya Uchukuzi, Yusuph Abdulkadir Muya akifafanua kwa mwananchi kuhusu umuhimu wa utunzaji wa Mazingira katika miundombinu ya Uchukuzi, leo asubuhi katika maoneysho ya Wiki ya Mazingira yanayofanyika Mkoani Tanga. Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.
Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Tanga wakipata taarifa mbalimbali za namna ya kutunzaji mazingira hasa kwenye miundombinu ya uchukuzi kwenye banda la Wizara ya Uchukuzi, kwenye maonesho ya Wiki ya Mazingira. Maonyesho ya Wiki ya Mazingira yanaanyika kitaifa Mkoani Tanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...