Wageni wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma wakiangalia Vielelezo katika Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakipata maelezo kuhusu huduma za Uhamiaji.
Maofisa wa Idara ya Wakimbizi wakitoa maelezo kwa wageni waliotembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...