Mh January Makamba naendelea na Ziara yake ya Kusaka Wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na Leo alikua katika Mkoa wa Shinyanga akiomba Uzamini.

Mh January Makamba amepokelewa kwa Bashasha Kemkem na wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Chama cha vijana wa Bidaboda mkoa huu walijitokeza kwa Wingi kumpokea January Makamba.
Mbunge wa Shinyanga na Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi (Mazingira) Steven Masele amempokea mh January Makamba na Kuwaomba wanashinyanga kumuamini na kumpa udhani maana January ni Jembe na anaakili anauwezo wa kuongoza Nchi. January Makamba naendelea na Ziara yake ya Kusaka Wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na Leo alikua katika Mkoa wa Shinyanga akiomba Uzamini.

Mh January Makamba amepokelewa kwa Bashasha Kemkem na wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Chama cha vijana wa Bidaboda mkoa huu walijitokeza kwa Wingi kumpokea January Makamba.
Mbunge wa Shinyanga na Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi (Mazingira) Steven Masele amempokea mh January Makamba na Kuwaomba wanashinyanga kumuamini na kumpa udhani maana January ni Jembe na anaakili anauwezo wa kuongoza Nchi.
Mh January Makamba akipokea Fumo ya watu waliomdhani Mkoa wa Shinyanga ambao walikua Zaidi ya 600.
Ubavu wa Mh January Makamba Akitia saini Katika kitabu cha wageni Ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga
Mh January Akizungumza na wakazi wa Shinyanga waliojitokeza kumsikiliza katika Viwanja vya CCM wilaya ya Shinyanga.
Mbunge wa Shinyanga Mjini Steven Masele akimzungumzia Mh January Makamba kwa Wakazi wa Shinyanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...