Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa
chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Kinondoni,Isaac Mazwile kwaajili
ya mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising
Stars, inayoanza tarehe 24 Julai mkoani Mbeya. katikati ni Afisa
Uhusiano Airtel,Jane Matinde. Makabidhiano hayo yalifanyika leo jijini
Dar-es-Salaam.
Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF),Ayubu Njenza (kushoto) akimkabidhi vifaa vya michezo katibu wa
chama cha mpira wa miguu Wilaya ya Ilala Kanuti Daudi kwaajili ya
mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars
katikati ni Afisa Uhusiano Airtel Jane Matinde. Makabidhiano hayo
yalifanyika leo jijini Dar-es-Salaam.
Mwenyekiti kamati ya soka la vijana katika Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF),Ayubu Nyenza akiongea wakati kupokea vifaa vya michezo ya Airtel
Rising Stars kutoka kwa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel , Kulia
Afisa Uhusiano Airtel,Jane Matinde kushoto ni Afisa Maendeleo wa TFF
bwana Jemadari.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...