Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja, Unguja, usiku huu
Kikosi cha timu ya Mkunazini katika michuano ya Bonaza Kombe la Masauni ambocho kimetowa dozi kwa timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa pili wa Bonaza hilo ikiwa na pointi 4, baada ya kupotoka sare mchezo wao wa fungua dimba na timu ya Miembeni.  Timu ya Miembeni inaongoza kundi hilo ikiwa na poiti 7
Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Mkunazini wakati wa mchezo wao wa Bonaza, uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja. timu ya Mkunazini imeshinda 2-0.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...