
Mkurugenzi kitengo cha Biashara wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT),Neema Chololo Kusiga akizungumza mara baada ya uzinduzi wa kiota cha burudani cha Goldbar
and Restaurant kilichopo katika chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Taifa cha utalii, Rosada Musoma akizungumza mara baada ya kuzindua Goldbar
and Restaurant katika chuo hicho mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam
katika ukumbi wa chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya Bustani.
Picha
ya pamoja ya wafanyakazi wa Chuo cha Taifa cha Utalii kampasi ya
Bustani mara baada ya kuzindua Goldbar and Restaurant katika chuo hicho
uzinduzi uliofanyika katika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...