Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje
ya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyuo vya nje ya nchi kutoka kushoto ni Meneja Miradi wa Chuo Kikuu cha Lovely Professional cha Nchini India, Bw. Gulshan Sandh na Bw. Sourabh Chaudhary pamoja na Meneja wa Kanda wa Chuo Kikuu cha Sharda cha nchini India, Bw. Deepak Kaushik mara baada ya kuwakaribisha katika ofisi yao iliyopo ndani ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja
vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi,
Bw. Abdulmalik Mollel (wa pili toka kulia) akiongea na wageni wake
ambao ni viongozi wa vyuo vya nje mara baada ya kuwaalika kushiriki katika
maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika
viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es
Salaam.
Principal
Academic Officer wa Chuo cha IFM cha jijini Dar es Salaam akisisitiza
jambo la kielimu wakati alipokutana na viongozi wa vyuo vya nje ya nchi
ndani ya ndani ya ofisi za GEL zilizopo ndani ya maonyesho ya 39 ya
Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu
Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...