Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akiwa katika meza  kuu pamoja na Wahe. Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,  katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Sehemu  ya Mawakili wapya walioapishwa  na Mhe. Jaji Mkuu ambaye  ameapisha jumla ya Mawakili 412 na kuongeza idadi ya jumla ya Mawakili 4874. 
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wahe Majaji wa Mahakama ya Rufani (walioketi), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa tatu kulia) na baadhi ya Mawakili wapya (waliosimama) waliopishwa mapema leo. Picha na Mary Gwera wa Mahakama.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...