Na Bashir
Yakub
Ipo sheria moja iitwayo
Sheria ya Uuzaji wa
bidhaa Sura ya 354. Ni sheria
ambayo hutoa majibu ya
miamala ya kibiashara hasa
kwa namna ya kimikataba.
Ni muhimu
sana kwa wajasiriamali
kujua mambo yaliyo
kwenye sheria hii ili
kuepuka migongano na
migogoro ya kibiashara.
Sheria hii hueleza
jambo fulani likitokea hivi
kati ya muuzaji
na mnunuzi nani
ana haki na mengine
mengi kama nitakavyoonesha hapa. Ili
ujumbe kufika vyema
nitaeleza kwa mtindo
wa masomo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...