SAM_3542Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Africa Mashariki  Mh.Bernard Murunya amabye alikuwa mgeni rasmi katika tukio la kukabidhi pikipiki,akimkabidhi moja ya Pikipiki kwa katibu jumuiya ya wazazi Wilaya ya Arusha Rehema Mohamed jana katika makao makuu ya chama  hicho jijini Arusha, jumla ya pikipiki saba zilikabidhiwa kwa Wilaya saba katika Mkoa wa Arusha huku Mwenyekiti wa Taifa  Abdalah Bulembo pamoja Baraza kuu Taifa wakifanya jitihada za kupatikana kwa Pikipiki hizo,katikati ni Katibu wa wazazi Mkoa wa Arusha Mayasa Kimbau.(Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
SAM_3517 Katibu wa wazazi Mkoa wa Arusha Mayasa Kimbau akisoma risala fupi kwa mgeni rasmi ambapo katika risala yake alisema kuwa ugawanyi wa pikipiki hizo saba ni juhudi za Mwenyekiti Taifa Abdalah Bulembo pamoja na Baraza Kuu la Wazazi Taifa ,Tukio hilo ni la Jumuiya ya wazazi Nchi nzima la kuwakabidhi Makatibu wa Wilaya zote 161 pikipiki kwaajili ya kurahisisha utendaji wa kazi na kuboresha suala zima  la usafiri ikiwa ni kuimarisha Chama cha Jumuiya zote
SAM_3528Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Arusha na Mbunge wa Africa Mashariki  Mh.Bernard Murunya akijaribu moja ya pikipiki alizokabidhi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...