TBC.
Baada ya malumbano Bungeni Leo yaliyopelekea kuahirishwa kwa Bunge, haya ni baadhi ya matukio yaliyotekea Bungeni.
SIMUtv: Hivi ndivyo timbwili lilivyozuka bungeni leo hadi kupelekea kuahirishwa kwa kikao cha bunge.Tazama hapa. http://youtu.be/zFRWtB0lbKo
SIMUtv: Naibu Waziri Tamisemi Mhe Majaliwa akijibu swali Bungeni Juu ya maegesho ya magari katika miji mbalimbali nchini. http://youtu.be/CTJ9oznbgEE
SIMUtv: Mbunge aibana serikali juu ya upotevu wa fedha za umma kama inavyoainisha na ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali. http://youtu.be/4856G_lVqRc
SIMUtv: Changamoto za ukusanyaji wa mapato ya maegesho ya magari katika jiji la Dar Es Salaam waibua maswali Bungeni. http://youtu.be/a4AGzh0geJw
SIMUtv: Kibano alichokitoa Mhe Mnyika dhidi ya serikali juu ya ubadhilifu unajitokeza katika manispaa za Jiji la Dar Es Salaam. http://youtu.be/f3Kwx9Tlsbg
SIMUtv: Serikali kukomesha tabia ya ulipaji wa mishahara kwa watumishi hewa serikalini kwa kuimarisha mawasiliano katika ngazi zote za serikali. http://youtu.be/4QcL9RIqA44
SIMUtv: Misingi Imara ya utawala bora inakipasa Chama kiwe na Uwazi kwa jamii, Ungana na Zitto Kabwe akizungumzia misingi ya Utawala Bora. http://youtu.be/1de_hY9xMmY
SIMUtv: Mjadala wa vitambulisho vya taifa wafufuliwa upya Bungeni na haya ndio majibu yaliotolewa na naibu waziri wa mambo ya ndani Mh Pereira Silima. https://youtu.be/X_4tip1nik0
SIMUtv: Naibu waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Mh January Makamba akijibu swali juu ya makampuni ya simu yaliowekeza katika halmashauri ya vunjo http://youtu.be/rMsnWXzBljw
SIMUtv: Serikali yawaasa wananchi kusimamia na kuhakikisha wanapata mapato zaidi kutokana na uwekezaji wa minara ya simu katika ardhi yao. http://youtu.be/bOGkvRDl8H4
SIMUtv: Hivi ndivyo kambi rasmi ya upinzani Bungeni walivyowasha moto bungeni na kusababisha spika kuhairisha Bunge. http://youtu.be/QRUni90WHh8
SIMUtv: Hivi ndivyo timbwili lilivyozuka bungeni leo hadi kupelekea kuahirishwa kwa kikao cha bunge.Tazama hapa. http://youtu.be/zFRWtB0lbKo
Madai ya Mbunge wa Ubungo Mhe. Mnyika juu ya ukiukwaji wa kanuni za bunge yaleta mzozo Mkali na kupelekea bunge kuahirishwa. https://youtu.be/HO6GH8fs4K4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...