Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prisca Komba (kulia)alipotembelea kambi hiyo  chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo.
 Baadhi ya watoto wanaoishi katika kambi ya wakimbizi iliyopo Nyarugusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma,wakifurahia jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prisca Komba (kulia)alipotembelea kambi hiyo  chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo.
 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prisca Komba (kulia)alipotembelea kambi hiyo  chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo.
Baadhi ya Maofisa wa jeshi la polisi kitengo cha dawati la jinsia Nyarugusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma na maofisa wa kambi ya wakimbizi ya mkoani humo,wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prisca Komba(wapili toka kushoto) Wakati alipotembelea kambi hiyo chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda hivi karibuni kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...