Waandishi habari na baadhi ya viongozi wa vyama mbalimbali wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wakimsubiri  Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassaa kwa ajili ya kujiunga na UKAWA ,baada ya muda mfupi tutawaletea  chama anchajiunga nacho. 
 Hivi ndivyo walivyo katika hoteli wakijiandaa na mapokezi ya Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa katika hoteli ya bahari beachi jijini Dar es Salaam

 Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Bawacha,Halima Mdee akifakari  kulia kwake ni Mzee Kimesera leo katika waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam,
Sehemu ya kamera zikisubiri kuwasili kwa kiongozi huyo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...