CCM TAWI LA CHINA TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA, KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, HALMASHAURI KUU YA TAIFA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA KWA KUTUPATIA MGOMBEA MWADILIFU, MAKINI, MZALENDO WA KWELI NA MPENDA MAENDELEO AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHETU KWA NAFASI YA URAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015, TUNATARAJIA KUPATA USHINDI WA KISHINDO. HONGERA SANA DKT. ALI MOHAMED SHEIN.WEMBE KULIKO ULE USHINDI.......................................!
Home
Unlabelled
PONGEZI KWA DKT. ALI MOHAMED SHEIN KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KWA NAFASI YA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Come home you guys to witness any maendeleo! !
ReplyDelete