Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (Stamico),Zena Kangoyi akizungumza na waandishi wa habari juu mafanikio ya stamico baada ya maboresho yaliyofanywa katika shirika hilo katika Ofisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Uchorongaji ,Alex Rutagwelela akizungumza na waandishi wa habari juu Stamico linavyosimamia majukumu yake katika katika kuendeleza wachuimbaji wadogo iliyofanyika leo Makao Makuu ya Stamico,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala,Beatrice akizungumza na waandishi wa habari juu Stamico linavyoweza kusimamia miradi yake na uwezo wa Shirika hili iliyofanyika leo Makao Makuu ya Stamico jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico,Zena Kangoyi akiwa na baadhi ya wakurugenzi wakati akieleza mafanikio ya shirika hilo kwa waandishi wa habari iliyofanyika Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...