Kumekua na wimbi la uhalifu Mtandao aina ya
(Clickjacking unao fanana na cross-site scripting) - Unao sambaza picha zisizo
rafiki katika walls za wengine ( Mara nyingi Muhusika anakua haoni hadi
aambiwe) Ushauri ni Kua Uonapo Video Hizo Mjulishe muhusika ili aweze kubadili
Password yake na kutoa taarifa facebook.
Pia Wewe uonae Usi Click (Bonyeza) kwani Kwa
kufanya hivyo na wewe utakua umeathirikia.
Siku Njema - Yusuf Kileo
Hapo chini kuna post Mbili zenye Picha Tofauti
katia Facebook ikiwa ni kufuatia Wimbi kubwa la waathirika na Aina ya uhalifu
unaokua kwa kasi nchini. Jihadhari nazo sana!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...