Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys ilicheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Mozambique na kufanikiwa kulichukua kombe hilo baada ya kufikisha pointi 7.Mchezo wa kwanza Tanzania Boys 4 na Laulane Sports 3, mechi ya pili Tanzania Boys 4 Raiva Mfalala 2 na mechi ya mwisho Tanzania Boys 5 na 25 de Setembro 5. Tanzania Boys walimkabidhi kikombe hicho Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga ofisini kwake.
Timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys iliyocheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Msumbiji
![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Shamim Nyanduga akikabidhiwa kikombe na Kiongozi
wa Timu ya Tanzania Boys Salum Magimba.
|
![]() |
Balozi Nyanduga akiwa na baadhi ya wachezaji wa timu ya vijana Watanzania, Tanzania Boys iliyocheza ligi maalum ya kusherehekea miaka 40 ya Uhuru wa Msumbiji |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...