Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
 Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida.
 Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa mnara wa kupima upepo wa kampuni ya kuzalisha umeme wa upepo ya Wind East Africa Singida Wind Power katika kijiji cha Ihoro, Kata ya Kisaki, Singida mjini.
Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ikiwa chini ya mnara wa kupima kasi ya upepo katika kijiji cha Iroho, Kata ya Kisaki, Singida mjini. Mnara huo una urefu wa mita 60.
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Wind East Africa Singida Wind Power Bw. Simon Magesa akionesha jinsi ambavyo kasi ya upepo inavyopimwa katika mnara wa upepo ambao tayari umewekwa na kampuni yake .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...