Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation Development (KFFD) Mohamed Bhinda akimkabidhi mlezi wa  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam leo. KFFD ni jumuiya ya watu wanaoishi ama waliopata kuishi eneo la Kariakoo ambao wameunda jumuiya hiyo  kudumisha umoja wao pamoja na kusaidiana katika shida na raha.
 Ujumbe wa KFFD ukiwa na mlezi wa  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam baada ya kukabidhi misaada leo. 
 Ujumbe wa KFFD ukiwa na watoto wanaolelewa katika  kituo cha Yatima cha Al Madina Tandale jijini Dar es salaam baada ya kukabidhi misaada leo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mweka Hazina KFFDJuly 05, 2015

    Mola awalipe wana Kariakoo kwa kazi njema. Kila unachotoa Mola analipa mara 10 yake na khasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan

    ReplyDelete
  2. Well done wana KFFG;;; Group lidumu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...