Wananchi wajitokeza kujiandikisha katika Daftari la wapiga kura Kutoka kushoto ni Mzee Thomas Fulla akijiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo, Kulia aliyekaa ni Mwandikishaji msaidizi,Hawa Bushiri na Mwongozaji wa kutumia mashine za (BVR), Biometric Vote Registration Salimu Said.
Mzee Thomas Fulla akijiandaa kupiga picha kwaajili ya kupata kitambulisho cha kumwezesha kupiga kura mwaka 2015,wakati wa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
Wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha mara baada ya kupata namba ambazo zitamwezesha kufikia kujiandikisha kwa wanao andikisha leo katika,ikiwa kila kituo inaakiwa kuandikisha watu 100 na mpaka kuikia saa tano namba 1hadi 100 zilikuwa ayai mikononi mwa watu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...