Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akipiga makofi mara baada ya kufungua nyumba za makazi ya Watumishi wa Umma zilizoko Mbezi Beach (E-NMC) jijini Dar es Salaam. Wa tatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akifatiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Arch. Elius Mwakalinga.
Nyumba ya Makazi ya Watumishi wa Umma ilioko Mbezi Beach (E-NMC) jijini Dar es Salaam kama linavyoonekana.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akitoka kufanya ukaguzi wa jengo la Makazi ya Watumishi Sida Flats Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Hizi nyumba ni nzuri, ili kuhakikisha zinakuwa na matengenezo ya mara kwa mara yanapohitajika, wafanyakazi watakopewa nyumba hizi wakatwe kodi itakayowekwa kwenye mfuko kwa ajili ya matengenezo na kuziboresha mara kwa mara. Kuajiri mwangalizi (caretaker) kutasaidia kutunza usafi wa maeneo ya pamoja. Endeleeni kutengeneza makazi bora kwa ajili ya watumishi wa umma
ReplyDeletezitauzwa lini tujipange?
ReplyDelete