Kama umegundua nywele zako zinanyonyoka, usi-panic. Sababu inaweza kuwa rahisi.
Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ). Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka:
1. Stress
Kila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. . Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako. Emotional stress hazisababishi kunyonyoka kwa nywele lakini inaweza kutokea pale unapokuwa katika wakati mgumu kisaikolojia kama vile kumpoteza mtu wako wa karibu kutokana na kifo au kuachwa kimapenzi. Hata hivyo,. Baada ya wakati huo mgumu, nywele zako zitaanza kuota tena baada ya miezi sita.
2. Homoni
Kunyonyoka kwa nywele kunaweza kuwatokea wanawake w alio katika menopause kutokana na kuadilika kwa viwango vya homoni. Inaweza kutokea pia kwa wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango hususani wanapokuwa wana ahirisha mara kwa mara zoezi la kutumia vidonge hivyo. Unashauriwa kama unatumia vidonge kwa uzazi wa mpango, basi hakikisha unazingatia ratiba na usiahirishe hata mara moja.
3. Ukosefu wa Protini au Hamirojo
Ukosefu wa protini unaweza kudhoofisha ukuaji wa nywele au kusababisha kunyonyoka kwa nywele kabisa na hatimaye kuwa na kipara kabisa.
Kipara-ng`oto, ndo utu-uzima huo, wengine genetically wanaanza kukipata mapema, na wengine ndo mambo ya uzeeni hayo.When my time comes to become bald, I will accept my bald head with intergrity.
ReplyDeleteKuna miaka ya themanini waganga wa kienyeji bongo walikuwa wanavitaka vipara kwa shughuli zao, a few unlucky fellas lost their lives to this stupidity.