Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia
Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti 17, 2015 katika
kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya
CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya
Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika majimbo 11 nchini
yaliyokuwa yamebakia.
Wagombea Ubunge
walioteuliwa na majimbo yao kwenye mabano ni:-
1.
Ndugu Jerry Slaa - (Ukonga) Dar
es Salaam
2.
Ndugu Edward Mwalongo - (Njombe Kusini) Njombe
3.
Ndugu Venance Mwamoto - (Kilolo) Iringa
4.
Ndugu Raphael Chegeni - (Busega) Simiyu
5.
Ndugu Edwin Ngonyani - (Namtumbo) Ruvuma
6.
Ndugu Mohamed Mchengerwa - (Rufiji)
Pwani
7.
Ndugu Norman Sigara - (Makete) Njombe
8.
Ndugu Martin Msuha - (Mbinga Vijijini) Ruvuma
9.
Ndugu Joel Makanyanga Mwaka - (Chilonwa)
Dodoma
Imetolewa
na:-
Nape Moses
Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA
UENEZI
17/08/2015
17/08/2015
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...