Balozi Mdogo wa China nchini, Zhang Biao akizungumza katika hafla fupi ya kuwaaga wanafunzi wanaokwenda kusoma nchini China hafla iliyofanyika ubalozi wa China  jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa  Sycilia Temu wakati wa kuwaaga wanafunzi 78 wanaokwenda kusoma nchini China  kwa ufadhili wa nchi ya China jijini Dar es Salaam jana.


 Balozi Mdogo wa China nchini, Zhang Biao akizungumza na mwakilishi wa mkuu wa chuo cha Kiislam cha Morogoro, Faraji Tamim katika hafla fupi ya kuwaanga wanafunzi wanaokwenda kusoma nchini China iliyofanyika ubalozi wa china jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...