Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akiongea na wageni waalikwa na kuwashukuru wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Daudi Nassib akiwakilisha mchango wa Sh. milioni tano ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe – Mugisha akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10,800,000/=ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume
Baadhi ya wadau mbalimbali wakurafahia wakati wa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam
Baadhi wa wadau waliokuwa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam. Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...