Taswira
katika banda la kituo cha Redio 5 wakirusha matangazo yao moja kwa moja
katika maonyesho ya nane nane Themi njiro jijini Arusha
Meneja masoko wa ampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha, Bi.Sarah Keiya
amesema kuwa kila wanaposhiriki maonyesho ya nane nane kila mwaka
kipaumbele cha kwanza ni kuhakikisha wanawafikia wakulima,wafugaji na
wafanyabiashara katika maonyesho hayo ya nane nane
Pia
alisema kwa mwaka huu kutakuwa na mashindano ya kila aina ikiwemo la
shindano la kuimba,kurup,kula na kunywa,vipaji vya danadana huku akiweka
wazi kuwa zawadi zipo kwa washindi wa shindano hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...